jitose tu kwenye maofisi. Ni shida kumsubiria mtu hapa jf akushike mkono.
Vaa vizuri, chukua barua yako ingia ofisi zote unazoona zitakufaa. Ukifika pale unakuwa mcheshi, unasmile, usiwe uso wa mbuzi. Jenga mazoea kwa muda mfupi na yule utakaemkuta, ukimuona yuko fresh waweza kumuomba contact ili kuulizia ilipofikia.
Kila la heri.