Reproduction topic destroyed everything

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Since then I knew nothing about love or relationships and I used to have no feelings over these issues..

HOW DID YOU KNOW LOVE?

Until I was taught Reproduction in primary everything totally changed. I started to have some catchy feelings over love and ladies.

But I'm sure even today our kids begin to understand and free their interest upon learning Reproduction in Class at an early age.

It is where the issues of love affairs in school arose and yet the teachers complain the bad habits of unmatured students to engange in love hence the influencer here is Reproduction TOPIC being taught at early ages of Childhood...

Its where I knew LoVe
Maybe You knew It Somewhere apart from school?
How did you know love?
 
Mkuu Usilaumu walimu bali mfumo wa elimu.sera ya taifa ya elimu ndio imeruhusu wafundishwe.

Binafsi nalaumu unakuta mtoto wa darasa la tatu anaelimishwa kuhusu matumizi ya kondomu.ni kumjazia takataka kichwani.
 
The intention of that topic is not to teach students to get into relationship, rather it intends to make them aware about reproductive system of their bodies. And remember at that age is when kids are in puberty, so they need to know things related with the body changes (eg. Menstruation, pubic hairs and too much sex drive just to mention few)
What you did is like being taught how to use a gun to defend people but instead of doing so you use that gun to kill those people or intimidate them.
 
Mkuu Usilaumu walimu bali mfumo wa elimu.sera ya taifa ya elimu ndio imeruhusu wafundishwe.
Binafsi nalaumu unakuta mtoto wa darasa la tatu anaelimishwa kuhusu matumizi ya kondomu.ni kumjazia takataka kichwani.
Acha uongo mkuu hamna mtaala wa namna hiyo. Topic ya reproduction inafundishwa drs la sita na yenyewe kwa ufupi sana sekondari ndo inafundishwa form 3. Sasa hayo ulosema sijui unayatoa wapi.
 
Acha uongo mkuu hamna mtaala wa namna hiyo. Topic ya reproduction inafundishwa drs la sita na yenyewe kwa ufupi sana sekondari ndo inafundishwa form 3. Sasa hayo ulosema sijui unayatoa wapi.
Mkuu Nilikua mwalimu primary ,sekondari na chuo nkaacha.Hizi afya za uzazi zipo kuanzia chini kabisa.kati ya 2008 na 2010 kondomu iliwahi kuwepo std 3.sema mitalaa inabadilika badilika .lkn hadi sasa haya nambo yamedokezwa tena kwa kueleweka .KUNA VISICHANA STD 4 VISHAVUNJA UNGO.mimi naongelea uzoefu kuniita mwongo ni hisia zako na exposure yako kuhusu hizi mambo.
 
I don't mean so
But students tend to complicate the main concern of the topic
Lengo ni kumfundisha awe aware na viungo vya mwili wake na mabadiliko yanayotokea ktk mwili wake na mambo mengine ya kibayolojia .bahati mbaya watoto wa siku wamezongwa na mambo mengi kutokna kasi ya maendeleo .Wazazi wengi nao hawana habari na watoto.kutokana na mihangaiko ya maisha na uzembe pia. Sasa watoto wamekua huria km kuku wa kienyeji.
 
Reproduction au mapenzi ni jambo la asili. Sisi kama jamii tunakosea sana kuharamisha hii kitu kwa watoto ambao tayari wameshapevuka na miili inajua kuwa hiyo ni kitu wanataka kujaribu.

The best tunaweza fanya nikuwaambia namna hii kitu ni nzuri na umuhimu wake kwa jamii.

Pia ni vema kuwaambia kuwa wanatakiwa kujiandaa kuja kuifanya muda ukifika na ni kitu kitamu sana.

Sasa badala yake sisi tunaharamisha na kuwaambia watoto kuwa zile feeling wanapata ni shetani. Tunawakataza watoto kupendana na kuwaambia ni crime. Tunaharamisha kiasi kwamba wanapata mkaranganyiko kuelewa nini hasa kinawasisimua na nini wazazi wanachokisema kuwa ni haramu.

Mwisho wa siku hawa watoto wanaokatazwa kujihusisha na mapenzi hawataweza kupambana na kile kinachowanyemvua kichwani na miili yao. Watatafuta kujifunza.....matokeo yake watajifunza kwa njia za wizi kama kwa kuangalia video za ngono, kutembea na watu wakubwa kiumri kuwazidi na kadhalika. Wazazi wengi huwa hata hawafahamu kuwa mabinti wao au vijana wao ni lini walifanya mapenzi kwa mara ya kwanza. Huwa wanalipeleka hili swala kimya kimya sana na kuliacha lijiendee lenyewe.

Wazazi wanaona aibu kuwapa elimu watoto wao juu ya maswala ya kitandani watoto wanabakia kujifunza wenyewe.
 
wakala wa mabeberu .
Natumia simu yenye lugha ya kingereza
Watoto watasoma English medium
Computer zetu za ofisini lugha yake Kingereza
Products tunazotumia zina maelezo kwa Kingereza

Sasa nadhani tungebadili lugha ya ufundishaji tuwe wazalendo na kiswahili chetu tuache hiyo English

Isitoshe hata jina lako ni la Kingereza
 
Since then I knew nothing about love or relationships and I used to have no feelings over these issues..

HOW DID YOU KNOW LOVE?

Until I was taught Reproduction in primary everything totally changed. I started to have some catchy feelings over love and ladies.

But I'm sure even today our kids begin to understand and free their interest upon learning Reproduction in Class at an early age.

It is where the issues of love affairs in school arose and yet the teachers complain the bad habits of unmatured students to engange in love hence the influencer here is Reproduction TOPIC being taught at early ages of Childhood...

Its where I knew LoVe
Maybe You knew It Somewhere apart from school?
How did you know love?
Are you talking about love or sex?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom