Rene Higuta,Na Magolikipa wengine Nini Mtazamo wako kuhusu uwezo wao

Magna Carta

JF-Expert Member
Jul 14, 2014
4,347
6,644
Huyu Golikipa alikua mcolombia aliyepewa jina la utani la El Roco (the madman) aliyezaliwa tarehe 27 Agosti 1966 anajua sana kwa upande wangu mimi huyu ndiye golikipa mwenye ujuzi mwingi sana kati ya magolikipa kama Oliver Khan,Manuel Neurer,Edwin Van De Sir,Idriss Kameni, Rustu, na yule golikipa wa Man United MS, ingawa ukimtoa huyu Rene Higuita golikipa mwingine ninayemhuhusudu sana na itachukua muda mrefu sana kumuona kama yeye ni G.Buffon wa juventus,

clip imekuwa kubwa sana mwenye clip yake fupi aiweke
 
Attachments

  • download (1).jpg
    download (1).jpg
    8.1 KB · Views: 43
  • RENE.jpg
    RENE.jpg
    18.1 KB · Views: 110
  • download.jpg
    download.jpg
    6.7 KB · Views: 48
Huyu Golikipa alikua mcolombia aliyepewa jina la utani la El Roco (the madman) aliyezaliwa tarehe 27 Agosti 1966 anajua sana kwa upande wangu mimi huyu ndiye golikipa mwenye ujuzi mwingi sana kati ya magolikipa kama Oliver Khan,Manuel Neurer,Edwin Van De Sir,Idriss Kameni, Rustu, na yule golikipa wa Man United MS, ingawa ukimtoa huyu Rene Higuita golikipa mwingine ninayemhuhusudu sana na itachukua muda mrefu sana kumuona kama yeye ni G.Buffon wa juventus,

clip imekuwa kubwa sana mwenye clip yake fupi aiweke
Jorge Campos mexico na style ya jezi zake za pekee WC 94 star, Jose Luis Chilavert Paraguay,Claudio Tafarel Brazil, Gianluca Pagliuca Italy,Rogerio Ceni kipa mwenye goli nyingi zaidi za kufunga kuliko kipa yeyote duniani amefunga goli 65 akiwa kama kipa, Peter Schmeichel danish,Vincent enyeama nigeria,chokri el ouer Tunisia,
 
nimeikubali hiyo list yako kulikua na magolikipa hatari sana sasa ongezea na hii list ya euro 1996 Andreas Kopke, David Seaman, Andoni Zubizaretta,Vitor Baia, Bernad Lama, na Angelo Perruzi kati ya hao wote tuliowataja yupi mkali zaidi
 
Huyu Golikipa alikua mcolombia aliyepewa jina la utani la El Roco (the madman) aliyezaliwa tarehe 27 Agosti 1966 anajua sana kwa upande wangu mimi huyu ndiye golikipa mwenye ujuzi mwingi sana kati ya magolikipa kama Oliver Khan,Manuel Neurer,Edwin Van De Sir,Idriss Kameni, Rustu, na yule golikipa wa Man United MS, ingawa ukimtoa huyu Rene Higuita golikipa mwingine ninayemhuhusudu sana na itachukua muda mrefu sana kumuona kama yeye ni G.Buffon wa juventus,

clip imekuwa kubwa sana mwenye clip yake fupi aiweke

Umaarufu wake uliongezwa na ile style yake ya Scopion Kick, pamoja na yote hatamsahau Roger Milla

Alikuwa anatabia ya kucheza mpaka ndani kama mchezaji wa ndani na kuwapiga chenga mastikers, kwenye world cup ya 1990, alitaka kujaribu hivyo kwa Roger Milla akachemsha

yeah alikua anafika mpaka katikati anakokota na kupiga chenga then anatoa pasi,mpira ulikua burudani sana sio kama sasa hivi watu wanakaza ile mbaya
 
Alikuwa anatabia ya kucheza mpaka ndani kama mchezaji wa ndani na kuwapiga chenga mastikers, kwenye world cup ya 1990, alitaka kujaribu hivyo kwa Roger Milla akachemsha

naona roger milla alimzidi uchawi siku hiyo
 
duuh kwa hiyo tunasimuliwa kama hadithi za hawafu mwenye nguvu
sijui kwa nini unabisha wakati unajua kabisa teknolojia ilikua bado huku kwetu
nyie watu ni wa hovyo sana mtabisha hadi mkwawa hakupigana vita kwa kuwa hakuna clip
 
Na
nimeikubali hiyo list yako kulikua na magolikipa hatari sana sasa ongezea na hii list ya euro 1996 Andreas Kopke, David Seaman, Andoni Zubizaretta,Vitor Baia, Bernad Lama, na Angelo Perruzi kati ya hao wote tuliowataja yupi mkali zaidi
Namkubali zaidi Rustu Recber Mturuki Yule alietamba WC 2002 Andoni zubizaretta ufalme wake ulipokwa na sunday oliseh kwa bao murua la nje ya 18 WC 98 kuna Santiago Canizares kama si majeruhi ya mara kwa mara naamin Iker Cassilas ingemchukua muda kumpoka nguli huyu wa valencia namba Pia kulikua na mwili Jumba na dongo kichwani halafu kauzu kichizi Bodgan Stellea toka Romania WC 94 alifunika pia bila kumsahu Msaudi Arabia Mohamed Al Daeyea pamoja alikuja kupigwa 8 na Germany WC 2002
 
sijui kwa nini unabisha wakati unajua kabisa teknolojia ilikua bado huku kwetu
nyie watu ni wa hovyo sana mtabisha hadi mkwawa hakupigana vita kwa kuwa hakuna clip
ntolee upuuzi wako mzee
 
Na

Namkubali zaidi Rustu Recber Mturuki Yule alietamba WC 2002 Andoni zubizaretta ufalme wake ulipokwa na sunday oliseh kwa bao murua la nje ya 18 WC 98 kuna Santiago Canizares kama si majeruhi ya mara kwa mara naamin Iker Cassilas ingemchukua muda kumpoka nguli huyu wa valencia namba Pia kulikua na mwili Jumba na dongo kichwani halafu kauzu kichizi Bodgan Stellea toka Romania WC 94 alifunika pia bila kumsahu Msaudi Arabia Mohamed Al Daeyea pamoja alikuja kupigwa 8 na Germany WC 2002[/QUOTE

Rustu nimemkumbuka mkuu hivi alichezea vilabu gani?alikua na uweusi vile chini ya macho
 
Back
Top Bottom