Remtaalam wakutunga mashairi/kipaji

Remtaalam wakutunga mashairi/kipaji

Joined
Jul 6, 2014
Posts
33
Reaction score
1
Ninakipaji kizuri cha kutunga mashairi na tenzi zenye mvuto,lugha mwanana zenye kufuata urali wa vina na mizani. Naomba wasanii chipukizi, waimba taarabu, kamamnahitaji hudumahii niko tayari, Vilevile kama kunamtu anawezaniajiri katika fani hii niko tayari.
Mafano wa Utenzi

Elim kiingilio,
Wasomao si kilio,
Ajira si tabirio,
Vyeti view Mthamini.

Call:0766717965/0688583311 or alexanda.kasomo@yahoo. com
 
Back
Top Bottom