Reminder for men

Reminder for men

Eeeeh vijana tunashindwa kuelewa kisa mihemko yetuu
Hapo unakuta jamaa anafukuzia na kupoteza pesa na muda siku akiamini atakuja kukubaliwa.

Mwanamke Hawezi kuficha kama hakupendi utaona dalili tangia siku ya kwanza.Hutakiwi kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom