Ni kweli lazima ureview mahusiano Yako ya nyuma.
Ndo maana unatakiwa upate pumziko kila baada ya mahusiano kuisha. Iangalie umejifundisha nini, kipi unahitaji kubadilisha?
Lakini ikiwa naandika bandua utakuta ile cycle ya mahusiano haibadiliki. Uishie kusema umerogwa. Lol