Rejesho; Kweli ili ufanikiwe lazma utoe kafara na kufanya Mtoto pendwa zezeta

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Huu usemi hua nauskia tu na kuona baadhi ya uhalisia kwa matajiri fulan,

Hii kafala nazngumzia ya awamu ya 5, imeamua ktoa kafala kwa watumishi wa umma na vijana wahtaj Ajira na kuwafanya kuwa mazezeta ili tu ifanikiwe kuendelea,

Kwel imefanikiwa kununua ndege 6, imejenga viwanja vya ndege, flyover tayr, nk, hawa waliofanywa mazezeta wamekuwa wakukaa tu nyumban toka wahitimu 2015 mpaka leo, je ufahamu wao kjkomboa lini?

Watumishi pia mwaka mzma bila incresment,uhamisho,madaraja,nk, je ss watumishi ndo tumekubali kutolewa kafala?

Siku waliotolewa kafala wakznduka utajir wote utayeyuka!
 
Hizo ndege sita ziko wapi? hiyo flyover tayari fedha ilishapangiwa na kiwanja cha ndege terminal 3 kila siku anamponda JK kwamba amekipangia fedha kubwa, labda kiwanja cha ndege Chato.
Time will tell kwa jinsi anavyowanyanyasa watumishi wa umma.
 
Huu usemi hua nauskia tu na kuona baadhi ya uhalisia kwa matajiri fulan,

Hii kafala nazngumzia ya awamu ya 5, imeamua ktoa kafala kwa watumishi wa umma na vijana wahtaj Ajira na kuwafanya kuwa mazezeta ili tu ifanikiwe kuendelea,

Kwel imefanikiwa kununua ndege 6, imejenga viwanja vya ndege, flyover tayr, nk, hawa waliofanywa mazezeta wamekuwa wakukaa tu nyumban toka wahitimu 2015 mpaka leo, je ufahamu wao kjkomboa lini?

Watumishi pia mwaka mzma bila incresment,uhamisho,madaraja,nk, je ss watumishi ndo tumekubali kutolewa kafala?

Siku waliotolewa kafala wakznduka utajir wote utayeyuka!
Hebu boresha kwanza chapisho lako kisha wadau wachangie.
 
Back
Top Bottom