badali JF-Expert Member Joined Mar 27, 2017 Posts 212 Reaction score 81 Oct 5, 2017 #1 Je ukiambiwa names mismatch ufanye nini ili uendelee kupata nafasi katika chuo husika 2017/2018 au ndo basi tena au ndo uombe tena katika second selection? Uombe udahili wa mara ya pili? Naomba majibu. Shukran.
Je ukiambiwa names mismatch ufanye nini ili uendelee kupata nafasi katika chuo husika 2017/2018 au ndo basi tena au ndo uombe tena katika second selection? Uombe udahili wa mara ya pili? Naomba majibu. Shukran.
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,947 Reaction score 6,783 Oct 5, 2017 #2 Inabidi uelewe kwanza names mismatch kiaje,ni vizuri ukawapigia uwaulize na wakupe way forward