Reginald Mengi ANENA -MABEGA YAMEWABEBA MSIYAKATE

 
Nina wasiwasi wewe utakuwa Prof wetu anayeongea hovyo kuhusu gesi yetu. Kwa mtanzania Wa kawaida hawezi akakubaliana na Prof Muhongo..

mtanzania wa kawaida yupi unayemuongelea wewe aache kukubaliana na prof kuwa vitalu viwe mali ya taifa kupitia TPDC aungane na Mengi kutaka wapewe wafanyabiashara 'wazawa' ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…