Regency Hospital

malipesa2014

Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
22
Reaction score
8
Regency hospital, whats wrong with number 0222150500? Inapigwa haipokelewi! Which hotline is the best to reach this hospital? Mgonjwa anaweza kupoteza maisha kwa sababu ya uzembe wa operators. Please do the needful - pick up the phone!
 
Hamia Kairuki.,ukitoka kuonana na daktari anakupa namba yake ya simu ya mkononi..Unampigia wakati wowote..
 
Naombeni kujua, kati ya regency na muhimbili ni ipi nzuri Kwa matibabu, nina ndugu yangu mwanamke ameota nyama sehemu za siri anatakiwa afanyiwe operation.
 
...karibia robo tatu ya madaktari bingwa wanao hudumia Hospitali za Dar wanatokea Muhimbili' ni vingumu kuwapata Muhimbili' kwa sababu ya ukiritimba wa taasisi za serikali, ukienda hospitali binafsi ni rahisi kuonana nao kuliko Muhimbili.
 
Naombeni kujua, kati ya regency na muhimbili ni ipi nzuri Kwa matibabu, nina ndugu yangu mwanamke ameota nyama sehemu za siri anatakiwa afanyiwe operation.
Bora uende Muhimbili, kwa kuwa hata hao madaktari wengi wanaotibu unaowaona hapo Regency ukiamini hospitali hiyo ina madaktari bingwa, wengi wao ni waajiriwa wa Muhimbili, ila hapo Regency wanafanya part time job.
 
Naombeni kujua, kati ya regency na muhimbili ni ipi nzuri Kwa matibabu, nina ndugu yangu mwanamke ameota nyama sehemu za siri anatakiwa afanyiwe operation.

Mpeleke mapemaa Ocean Road hospital kabla hizi hospital nyingine hazijakupotezea muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…