J Jasusi JF-Expert Member Joined May 5, 2006 Posts 11,562 Reaction score 5,524 Oct 8, 2014 #121 crabat said: Eurepean union Click to expand... And before that? Zanzibar and Tanganyika united before the Eurepean union.
crabat said: Eurepean union Click to expand... And before that? Zanzibar and Tanganyika united before the Eurepean union.
GHIBUU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 4,432 Reaction score 3,016 Oct 9, 2014 #122 Game Theory said: its all about OIL and GAS Click to expand... It's about economy and our power including identity
Game Theory said: its all about OIL and GAS Click to expand... It's about economy and our power including identity
GHIBUU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 4,432 Reaction score 3,016 Oct 9, 2014 #123 king11 said: Lakini sisi wapemba pia tunataka kisiwa chetu hatutaki kutawaliwa na waunguja daima..... Tunaomba katika referendum hiyo watuulize wapemba kama tunataka kubaki na waunguja Click to expand... Sisi wapemba hatutaki unafiki, zanzibar Kwanza, upemba ndio silaha yenu watanganyika kuwagawa wazanzibari ili mututawale vizuri. Ikiwa wewe mpemba kwenu wapi hasa?
king11 said: Lakini sisi wapemba pia tunataka kisiwa chetu hatutaki kutawaliwa na waunguja daima..... Tunaomba katika referendum hiyo watuulize wapemba kama tunataka kubaki na waunguja Click to expand... Sisi wapemba hatutaki unafiki, zanzibar Kwanza, upemba ndio silaha yenu watanganyika kuwagawa wazanzibari ili mututawale vizuri. Ikiwa wewe mpemba kwenu wapi hasa?
HNIC JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 1,898 Reaction score 2,200 Oct 19, 2014 Thread starter #124 Wapemba wako strong tatizo mapenzi yao kwa maalim yana cloud vision yao
SPY CATCHER JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 285 Reaction score 187 Oct 27, 2015 #125 give it 24 hrs max
HNIC JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 1,898 Reaction score 2,200 Oct 28, 2015 Thread starter #126 SPY CATCHER said: give it 24 hrs max[/QUOTE] and this is what it has produced. Click to expand...
C CRITICAL MIND JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 416 Reaction score 403 Nov 14, 2015 #127 napita tuu wanandugu
M mangesani Senior Member Joined Jun 20, 2016 Posts 159 Reaction score 88 Jun 24, 2016 #128 Zanxit????
D Didier kimbangu Senior Member Joined Jun 12, 2016 Posts 159 Reaction score 93 Jun 24, 2016 #129 Na wapemba pia nasisi hatuutaki muungano na waunguja pia hatuwataki kuchangamana tunaitaka pemba kama nchi
Na wapemba pia nasisi hatuutaki muungano na waunguja pia hatuwataki kuchangamana tunaitaka pemba kama nchi
Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,707 Reaction score 1,729 Jun 24, 2016 #130 Didier kimbangu said: Na wapemba pia nasisi hatuutaki muungano na waunguja pia hatuwataki kuchangamana tunaitaka pemba kama nchi Click to expand... Kwani Unguja na Pemba ziliungana lini? Acha utoto wa siasa!
Didier kimbangu said: Na wapemba pia nasisi hatuutaki muungano na waunguja pia hatuwataki kuchangamana tunaitaka pemba kama nchi Click to expand... Kwani Unguja na Pemba ziliungana lini? Acha utoto wa siasa!
Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,707 Reaction score 1,729 Jun 24, 2016 #131 Jasusi said: And before that? Zanzibar and Tanganyika united before the Eurepean union. Click to expand... Mkuu, muungano wa Tanganyika na Zanzibar sio sawa na EU.
Jasusi said: And before that? Zanzibar and Tanganyika united before the Eurepean union. Click to expand... Mkuu, muungano wa Tanganyika na Zanzibar sio sawa na EU.
M mangesani Senior Member Joined Jun 20, 2016 Posts 159 Reaction score 88 Jun 24, 2016 #132 Kuna mtu anajua bajeti ya serikali ya znz kwa usd???
T TumainiEl Platinum Member Joined Jan 13, 2010 Posts 7,267 Reaction score 14,275 Jun 24, 2016 #133 Hatupo tayari vunja muungano.
M majebere JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 4,990 Reaction score 1,838 Jun 24, 2016 #134 Nyie hamjui kuwa zanzibar ni mkoa wa tanzania? Shein ni kama makonda tu, ni mkuu wa mkoa.
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Jun 24, 2016 #135 Nyerere ndiye alimdanganya Mangi Kilimanjaro ikaungana Na tanganyika. Kilimanjaro lilikuwa taifa lenye uongozi wake Na bunge lake.
Nyerere ndiye alimdanganya Mangi Kilimanjaro ikaungana Na tanganyika. Kilimanjaro lilikuwa taifa lenye uongozi wake Na bunge lake.
S sem2708 JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,821 Reaction score 4,969 Jun 24, 2016 #136 Pepo la utengano linapita duniani muda huu LISHINDWE KWA JINA LA YESU KRISTO.
Kabembe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2009 Posts 2,588 Reaction score 1,793 Jun 24, 2016 #137 Wakati muafaka huu,zanzibar imekuwa ikitumiwa kama ngazi ya CCM kuendelea kutawala pande zote za muungano wa kimagumashi bila idhini ya wananchi
Wakati muafaka huu,zanzibar imekuwa ikitumiwa kama ngazi ya CCM kuendelea kutawala pande zote za muungano wa kimagumashi bila idhini ya wananchi
M mangesani Senior Member Joined Jun 20, 2016 Posts 159 Reaction score 88 Jun 25, 2016 #138 Wazanzibari hawako serious
HNIC JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 1,898 Reaction score 2,200 Jul 21, 2016 Thread starter #139 maalim kakimbia nchi wanadai kaalikwa na Hillary Clinton kwenye DNC These guys are a bunch of jokers
HNIC JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 1,898 Reaction score 2,200 Sep 5, 2016 Thread starter #140 naendelea kupita tuu