N nyachia Member Joined Mar 17, 2015 Posts 43 Reaction score 3 Mar 28, 2019 #1 Jee ikifikia hatua ya referees kuitwaa huwa inachukuaa mda gani kuitwaa kaziniu Sent using Jamii Forums mobile app
Jee ikifikia hatua ya referees kuitwaa huwa inachukuaa mda gani kuitwaa kaziniu Sent using Jamii Forums mobile app
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,633 Mar 28, 2019 #2 Referees nao huitwaga kumbe
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 29,854 Reaction score 53,379 Mar 28, 2019 #3 nyachia said: Jee ikifikia hatua ya referees kuitwaa huwa inachukuaa mda gani kuitwaa kaziniu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mara nyingi huwa hawaitwi zaid huandikiwa mail Sent using Jamii Forums mobile app
nyachia said: Jee ikifikia hatua ya referees kuitwaa huwa inachukuaa mda gani kuitwaa kaziniu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mara nyingi huwa hawaitwi zaid huandikiwa mail Sent using Jamii Forums mobile app
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,633 Mar 28, 2019 #4 Detective J said: Mara nyingi huwa hawaitwi zaid huandikiwa mail Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Iyo email inamtaka kuelezea nini,kuna kazi niliona wakidai wanataka hadi email ckujua umuhimu wake kumbe ndio ivyo
Detective J said: Mara nyingi huwa hawaitwi zaid huandikiwa mail Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Iyo email inamtaka kuelezea nini,kuna kazi niliona wakidai wanataka hadi email ckujua umuhimu wake kumbe ndio ivyo
Nyoka mwenye makengeza JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 870 Reaction score 779 Mar 28, 2019 #5 miaka saba hadi tisa Sent from my iPhone using JamiiForums
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 38,649 Reaction score 58,926 Mar 28, 2019 #6 Akipigiwa simu au kufanyiwa mawasiliano yoyote yale,jua una nafasi kubwa ya kupata kazi.Kwa hiyo itawategemea wao watakukingia kifua kwa namna gani.
Akipigiwa simu au kufanyiwa mawasiliano yoyote yale,jua una nafasi kubwa ya kupata kazi.Kwa hiyo itawategemea wao watakukingia kifua kwa namna gani.