Refa wa kike asababisha mpira gumzo Brazil

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,386
Refa msaidizi maarufu kama lineswomen huko brazil amesababisha mfadhaiko kwa wachezaji baada t shirt yake kulowa jasho wakati mchezo ukiendelea
nintchdbpict000317514931.jpg
nintchdbpict000317526995.jpg
nintchdbpict000317526895.jpg
nintchdbpict000317514939+%281%29.jpg
 
Du! poleni wapendwa kumbe mnateseka hivyo!!!!!!
ndo maana wengine hubaka! (hapa nasemea wale wanaobaka kwa msukumo si kukusudia)
mwili wa mwanadamu una misingi yake(sheria,misukumo)
sheria ili ifuatwe lzm kuwe na nguvu yakupush ili itekelezwe,ni sawa na kula ni kama sheria njaa ndio msukumo wa wewe kula.. sasa mda mwengine nguvu ya sheria hizi adhimu hushinda maamuzi ya ufahamu nakujikuta ukitenda ndivyo sivyo!
 
Huku kwetu wangekuwepo hata madaktari wa kike viwanjani nisinge give up on soccer


Yaani ningekuwa na banwa misuli kila saa nichuliwe chuliwe tu..

Kipindi Eva Carneio akiwa pale Chelsea Hazard na Ivanovic kila mda wakiguswa kidogo tu wanagalagala kama wamechomwa kisu. Mpaka viwango vikashuka Mourinho akaamua kuanzisha bifu na doctor mwishowe doctor akasepa..
 
Photogenic, Mbona Tanzania kuna Yule lefa mwanamke na kajaaliwa Kweli anachezesha kati
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Back
Top Bottom