Refa Saanya kaboronga mechi ya Biashara Utd vs Ruvu Shooting

Hadrianus

JF-Expert Member
Feb 19, 2020
2,112
5,208
Mechi imechezwa 21/02/2021 mchezaji wa Ruvu mpira umemgonga usoni refa anafunika penati.

Kwa waamuzi wa aina hii akina Saanya bado tunasafari ndefu sana kwenye soka upande wa waamuzi.
 
Tatizo lenu na wachambuzi wa kudanga, mnatoa lawama sana kwa waamuzi kiasi kwamba wanashindwa kujiamini wanapotoa maamuzi.

Timu kama utopolo walinyimwa penalty ikawa hadi wanautopolo wakajuapiza kuua.Lakini ni ukweli ni bora kutotoa adhabu ya penalty kama hujaona kwa uhakika kosa lililofanywa, kuliko kutoa adhabu hiyo wakati huna uhakika iwapo kweli kosa limetendeka
Mechi imechezwa 21/02/2021 mchezaji wa Ruvu mpira umemgonga usoni refa anafunika penati.

Kwa waamuzi wa aina hii akina Saanya bado tunasafari ndefu sana kwenye soka upande wa waamuzi.
 
Tatizo lenu na wachambuzi wa kudanga,mnatoa lawama sana kwa waamuzi kiasi kwamba wanashindwa kujiamini wanapotoa maamuzi.

Timu kama utopolo walinyimwa penalty ikawa hadi wanautopolo wakajuapiza kuua.Lakini ni ukweli ni bora kutotoa adhabu ya penalty kama hujaona kwa uhakika kosa lililofanywa,kuliko kutoa adhabu hiyo wakati huna uhakika iwapo kweli kosa limetendeka
Yaani hakimu akisemwa anatoa hukumu mbovu? Tanzania hakuna waamuzi kuna wasimamizi wa mechi.
 
Yaaani Utopolo wanatafuta jinsi kuhalarisha kilio chao walicholia mbele ya timu mbovu hadi kutaka kujitoa
 
Nawaona tu mbumbumbu mnavyo watetea hao waamuzi waborongaji! Msimu uliopita mlipewa mpaka ubingwa kwa kubebwa tu na hao waamuzi vilaza!

Mtoa mada ana hoja ya msingi! Iweje mpira umgonge mchezaji kichwani halafu mwamuzi aamuru penati ipigwe? TFFinatakiwa ichukue hatua kali dhidi ya waamuzi wababaishaji wote. Lakini pia iwape mafunzo ya mara kwa mara ya kuwaongeza uwezo, ili wachezeshe kwa haki na kwa kufuata sheria 17 za soka.
 
Nimeandika kuhusiana na ubovu wa maamuzi ya mwamuzi, ila kumetokea genge la "vichwa maji" kunihusisha na Usimba na Uyanga! Hivi mnapenda soka au mnapenda timu zenu nyie wendawazimu?
 
Back
Top Bottom