Yanga ndio amelia sana na marefa mpaka huyu Kingunebe anakuja kujisemesha hivi ni kwa sababu anawabeba sana watu na timu yake lakini haibebeki.Maskini utopolo na marefa wa kununua
Kama inafanya vyema Kimataifa acha ibebwe huko kwenye ligi ya ndani.Kila timu itavuna ilicho panda.
Msimu uliopita Kuna timu ilivuna zaidi ya point 12 kwa ujanja ujanja.
Ilistahili nafasi ya 4 ikawa nafasi ya 2.
Tunasubiri uwajibikaji wa bodi ya ligi na marefa.
Utopolo lazima mpaniki!!!!Hili zee ni moja ya mijitu ya ovyo kabisa kuwahi kutokea.
Yanga hii kipa aliyoingia na mpira ndani ya neti alaf refa akasema ni kona?Yanga ndio amelia sana na marefa mpaka huyu Kingunebe anakuja kujisemesha hivi ni kwa sababu anawabeba sana watu na timu yake lakini haibebeki.
Si hiari yake alipewa "take care"Yangu macho na kila.la kheri kama usemi wako n kutoka moyoni
Tulilia sana yanga na marefq kubeba Simba ukadmka na press conference anaepiga makele ya marefa uwanjaniwakacheze netball
Bado nawaza hii kauli ya moyon ama ukiwafurahisha waandishi wa habari
Na hii ni kutokana tu na ile project yake aliyo wekeza kwa waamuzi wake Kepha Kayombo, Japhet Smart, Amina Kyando, Tatu Malogo, Shomary Lawi na Heri Sasii kufeli bila shaka. Sasa ameona ajikoshe!#MsasaSports
Refa Akikosea, Shughuli Yake Imeisha: Wallace Karia
Rais wa TFF Wallace Karia akizungumza wakati wa kufunga Semina ya waamuzi wa ligi kuu ya NBC makao makuu ya TFF, Karume, Ilala amesema
“Msimu huu utakuwa msimu wa tofauti sana, kwa wale ambao watafanya vizuri tutapongezana, na kwa wale ambao watakuwa wapo tofauti tutakuwa tumeachana nao moja kwa moja kwenye hilo sitanii” – Wallace Karia
Wale wa dakika 162 na robo..!!Vp wale wa kuibeba timu yake, atawafanyaje?