Reencanation is real ushahidi huu hapa

mdukuzi hapo kiukweli ni umedukua utopolo.
 
Haiwezekani nafsi moja ikaishi katika miili miwili kwa wakati mmoja. Wakati Ali Mufuruki akiwa hai, Mwabukusi alikuwa hai pia. Labda kama sijaelewa unazungumzia maana ya 'reincarnation' ipi ya nafsi na mwili unayoifahamu mzee wa ma-file .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…