Red flag kwa mwanamke wako

Red flag kwa mwanamke wako

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
2,382
Reaction score
3,146
1. ✈️ Simu kindege “flight mode” kila mkiwa pamoja.
Anaepuka mawasiliano ya “side guys" —bro, hiyo ni red flag ya kimataifa.

2. 📵 “Usinipost please”
Anaogopa kupostiwa kama vile mwanaharakati. Ukimtag, anakwambia “sipendi attention” kumbe ni asionekane na msela.wake mwngne. Kwako yupo lowkey, kwao ni main chick 😭.

3. 🛏️ Kipochi nyoya kinabadilika ghafla
Unamfeel tofauti—ladha imepotea, vibe haipo, na mwili wake unavouskia unajiuliza “attasaaaa… nani amepita hapa?” .

4. 📱 Simu inatumika usiku WA ma8
Ukimpigia usiku, simu inatumika, na akikuta missed hapigi. Kama simu yako anaiona lakini hupati nafasi—someone else is getting the midnight love.

5. 💔 Hajali feelings zako
Ukimtext hajibu, ukimkosea hana presha, ukimweleza unavyojisikia anakwambia “OK, SAWA, USIJALI, UTAZOEA TU NK”. Hiyo ni sign ya mtu ambaye haupo kwenye priority list yake.

6. 🏃‍♀️ Visingizio Vingi
Ukipanga kuonana nae, unaskia “mama yupo”, “nimechoka”, “niko busy”, "Niko P". Lakini kaka, kwa mtu anayempenda kweli, muda hupatikana 😄.
 
Hangaikeni na wanawake mtakufa maskini someni kitabu cha bingwa wa wake na side chicks King Solomon
Wanawake ni maadui wa maendeleo na maono ya wanaume
Ishini nao kwa akili tu na sio hisia
Hakikisha hausacrifice mipango na harakati zako za maendeleo sababu ya mwanamke
Demu au mke ukigundua ana kucheat suluhisho ni kuachana nae tu na usipoteze muda vikao vya usuluhishi
Viongozi wa kanisa la Roma waliona hilo ndo maana wakasema hakuna kuoa ili malengo ya kanisa yatimie
Kijana wa kiume pambania ndoto zako usiku na mchana muda haurudi nyuma kila siku kwako ni bahati na fursa itumie vizuri
Usidanganywe na machozi na sauti ya mwanamke katika mapenzi nyuma yake amejificha shetani
Mwanamke mcha Mungu kikweli kweli ndio ahueni yako
Mwanamke mzinzi ukiendelea nae hata riziki inakuwa ngumu na hata akili inapigwa bumbuwazi
 
Mwanamke mzinzi ukiendelea nae hata riziki inakuwa ngumu na hata akili inapigwa
We nawe umeongea maneno mengi, kwahiyo unategemea vijana wakapate wapi upwiru? Ungewashauri waende kwa tahadhari tu basi inatosha.
 
Hangaikeni na wanawake mtakufa maskini someni kitabu cha bingwa wa wake na side chicks King Solomon
Wanawake ni maadui wa maendeleo na maono ya wanaume
Ishini nao kwa akili tu na sio hisia
Hakikisha hausacrifice mipango na harakati zako za maendeleo sababu ya mwanamke
Demu au mke ukigundua ana kucheat suluhisho ni kuachana nae tu na usipoteze muda vikao vya usuluhishi
Viongozi wa kanisa la Roma waliona hilo ndo maana wakasema hakuna kuoa ili malengo ya kanisa yatimie
Kijana wa kiume pambania ndoto zako usiku na mchana muda haurudi nyuma kila siku kwako ni bahati na fursa itumie vizuri
Usidanganywe na machozi na sauti ya mwanamke katika mapenzi nyuma yake amejificha shetani
Mwanamke mcha Mungu kikweli kweli ndio ahueni yako
Mwanamke mzinzi ukiendelea nae hata riziki inakuwa ngumu na hata akili inapigwa bumbuwazi
Tatizo la madogo hawaelewi mi nimeamua kukaa kimya mtu akija kusema anateseka na mapenzi namuambia bado kidogo teseka tena akili ikikaa sawa utaona tu anavyo behave unajua huyu sasa akili imekaa sawa sawia.
 
Hangaikeni na wanawake mtakufa maskini someni kitabu cha bingwa wa wake na side chicks King Solomon
Wanawake ni maadui wa maendeleo na maono ya wanaume
Ishini nao kwa akili tu na sio hisia
Hakikisha hausacrifice mipango na harakati zako za maendeleo sababu ya mwanamke
Demu au mke ukigundua ana kucheat suluhisho ni kuachana nae tu na usipoteze muda vikao vya usuluhishi
Viongozi wa kanisa la Roma waliona hilo ndo maana wakasema hakuna kuoa ili malengo ya kanisa yatimie
Kijana wa kiume pambania ndoto zako usiku na mchana muda haurudi nyuma kila siku kwako ni bahati na fursa itumie vizuri
Usidanganywe na machozi na sauti ya mwanamke katika mapenzi nyuma yake amejificha shetani
Mwanamke mcha Mungu kikweli kweli ndio ahueni yako
Mwanamke mzinzi ukiendelea nae hata riziki inakuwa ngumu na hata akili inapigwa bumbuwazi
Huu ni ukwel ambao kama umependa ni ngumu kuutekeleza, ila ukwel ndio huo!
 
uzi ufungwe hapa.
 
Hapa nitakuwepo kwa ajili ya michango ya WADAU tu
 
Back
Top Bottom