Tatizo sera za waajiliwa katika hii kampuni yenu ni za hovyo sana sijapata kuona. Unaajili vipi watu alafu unataka utumie taratibu za kijeshi kutoka Vietnam kusimamia wafanyakazi ambao ni raia!!!!
Viettel badirikeni kwanza ndo mtaweza kupata watu wanaojielewa vinginevyo hiyo nafasi pia tafuteni wanafunzi waliomaliza chuo 2014 muwaajili kwani ndiyo sera yenu na kigezo kikuu cha kulipa wafanyakazi wenu mishahara midogo kuliko kampuni zote za sim nchi hii.