recruitment agencies

aisee bado mnaamini kwenye max??all in all kama huna wa kukushika mkono lazima uhangaike sana alama hazisaidii watu wana mifirst class na tunagana nao benchi kitaa mpaka tunauliza kwa nini/??
mijitu ina mipass kila mwaka sup hakosi kuwa nazo tatu na yupo kitengoooo mkwanja mnene na kicelica chake anatesa nacho mtaaani.
 

Pole. embu jaribu na hizi kama una sifa Eclof Tanzania
 
fikiria akujiajiri bibie, usingojee kutegemea kuajiriwa,
nimesoma computer scs and i have my own company now
vitu vya kufanya vya IT hata kama ukiwa kama solo ni vingi sana


nimsoma computer science na CV am 100% sure nimeandika vizuri na kwa msaada wa some people I know wanaiterview watu, so I believe its perfect written
 
nimsoma computer science na CV am 100% sure nimeandika vizuri na kwa msaada wa some people I know wanaiterview watu, so I believe its perfect written

"nimsoma computer science na
CV am 100% sure nimeandika
vizuri na kwa msaada wa
some people I know
(wanaiterview) watu, so I
believe its (perfect) written"
.
.
..
.

naomba ukafanye review ya English iliyotumika kwenye CV yako...maana hapa naona kuna matatizo fulani...minor things can act as hinderances ya wewe kupata job Lady Unbreakable
 
Last edited by a moderator:
aliyetengenez bulb alijaribu mara 10000. endelea kujaribu.unonaonaje na kujiari? ulishawai kujiuliza anayechoma gunia la mahindi anapata tsh ngapi daily? na nayeuza matunda kwenye toroli? je anayeuza weza (MFANO TU), na wengi wengineo. <start small and grow big>
 
real talk.. asante sana
 
Its a typing error,my bad. I was writing this in a hurry.
 
Sema wewe kiazi, nikisema mimi muhogo nitaambiwa nina mizizi. Kwa kweli max zetu dunia ya leo ni kigezo cha mwisho kabisa kwa sababu ya kujuana. MARA NYINGI, ITS ABOUT WHO YOU KNOW
 

Kweli. Ila kusoma na status nyngne wakti mwngne huathiri baadhi ya watu ktk kufikiri na kuanzisha baadhi ya mambo. Hili la kusoma lina mashiko maana ukichukulia usomaji wenyewe ulivyokuwa wa shida; hivyo baadhi ya ndugu na wadogo zako huweza kupunguza ari za kusoma kwa kuona ulitumia rasilimali nyingi kusoma ukiwemo muda, na sasa unafanya kazi ambazo ungeweza kuzifanya kitaalamu hata kwa training ya kama mwaka tu.... Binafsi nasema tuendelee kuthamini elimu na tuwe wabunifu kutokana na maisha tuliyonayo. Naukubali uwasilishaji wako mkuu rolla! ajaribu zaidi na zaidi, na kama hajawahi kufikiri kujiajiri ndio umempa tafakari hiyo kadri ya uwezo wake..
 
mungu atusaidie sisi tusiokuwa na kazi.
 
nimsoma computer science na CV am 100% sure nimeandika vizuri na kwa msaada wa some people I know wanaiterview watu, so I believe its perfect written

Niko mbioni kuanzisha Tanzania Hackers forum ili watu wa IT waweze kujipatia fedha kwa njia ya ubongo.
 
nimsoma computer science na cv am 100% sure nimeandika vizuri na kwa msaada wa some people i know wanaiterview watu, so i believe its perfect written

niko mbioni kuandaa tanzania hackers forum itawasaidia kupata fedha kwa ubongo kwa watu wa it
 
kazi siku hizi ni ful kujuana my dia,ila uckate tamaa,endelea kupambana,sisi wengine tumeshaamua kujiajiri...
 
Kazi za bongo kujuana, unapost cv kila kona lakini hakuna majibu..tuendelee kukaza ila tumtangulize mungu wetu mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…