Record mpya: Taifa stars yacheza bila mchezaji wa Simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,854
Reaction score
32,657
HII INAWEZEKANA NI REKODI MPYA.

Mimi inawezekana ni mara yangu ya kwanza kuona Taifa Stars ikimaliza mchezo dakika zote tisini bila mchezaji yeyote wa Simba kushiriki.

Hii pia inatakiwa viongozi wa Simba wajiulize mara mbili mbili wapi wanakosea, ni ishara kuwa Simba Ina wachezaji wa daraja la chini mno.

Je yawezekana ni uwezo mdg wa wachezaji wa Simba????
1766865182705.jpg
 
HII INAWEZEKANA NI REKODI MPYA.

Mimi inawezekana ni mara yangu ya kwanza kuona Taifa Stars ikimaliza mchezo dakika zote tisini bila mchezaji yeyote wa Simba kushiriki.

Hii pia inatakiwa viongozi wa Simba wajiulize mara mbili mbili wapi wanakosea, ni ishara kuwa Simba Ina wachezaji wa daraja la chini mno.

Je yawezekana ni uwezo mdg wa wachezaji wa Simba????View attachment 3521647
Hivyo eeeeh!!!!!
 
Ndo maana hili litimu halitaa lifike maali km bd mpo kwenye usimba na ynga mtaa kaa sanaaa, simba wajitafakari na nn sasa apo? iyo point moja inatupeleja wapi?
 
Acha ubaguzi wa USimba na uyanga, siku ingine utaleta wa udini nk nk ..Ile prime Spain inayochkua Euro na kombe la Dunia 2010 11st eleven unakuta golikipa captain Iker casilas na beki Sergio Ramos pekee ndo wanatoka real Madrid, wachezaji wengine wote 9/10 ni kutoka Barcelona... Na hapo Barcelona kupitia Cataluna Bado Kuna vuguvugu la kujitenga na ubaguzi/sera za serikali Kuu ya Mm Madrid Spain lakini kwenye Mpira walkuwa wanashikamana pamoja
 
Mkuu pale Simba yupi mchezaji ana quality ya kucheza afcon
 
Acha ubaguzi wa USimba na uyanga, siku ingine utaleta wa udini nk nk ..Ile prime Spain inayochkua Euro na kombe la Dunia 2010 11st eleven unakuta golikipa captain Iker casilas na beki Sergio Ramos pekee ndo wanatoka real Madrid, wachezaji wengine wote 9/10 ni kutoka Barcelona... Na hapo Barcelona kupitia Cataluna Bado Kuna vuguvugu la kujitenga na ubaguzi/sera za serikali Kuu ya Mm Madrid Spain lakini kwenye Mpira walkuwa wanashikamana pamoja
Mkuu lakin ndo kilichotokea jana
 
HII INAWEZEKANA NI REKODI MPYA.

Mimi inawezekana ni mara yangu ya kwanza kuona Taifa Stars ikimaliza mchezo dakika zote tisini bila mchezaji yeyote wa Simba kushiriki.

Hii pia inatakiwa viongozi wa Simba wajiulize mara mbili mbili wapi wanakosea, ni ishara kuwa Simba Ina wachezaji wa daraja la chini mno.

Je yawezekana ni uwezo mdg wa wachezaji wa Simba????View attachment 3521647
Hiyo sio rekodi
 
Back
Top Bottom