habari wadau. samahanini sana naomba mwenye taarifa kuhusu zile kazi za tra za receptionist tulizoomba zamani sana, vip kuna aliyewahi kuitwa usaili? na tetesi zozote je?
Bot waliitaga zao hadi leo kimya. Bahati nina kazi ingekua ndo nawaza tu kuitwa mbona nishapata pressure ?????? Vip lakini watoto wa wakubwa pale bado ni kipaumbele kwawale mabepari wa bot ???? Mwenye taarifa atujuze