Receiver imezingua

Advicer

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
542
Reaction score
295
Wadau receiver aina ya media com imefuta channel zote na nkiwasha inaandika no channel nfanyaje?
 
unatakiwa kuingiza Data upya,pia zipo media com zingine hua inafuta kabisa inaweka --- kwenye display hiyo kuna waya maalum inatakiwa pamoja na receiver nyingine kama hiyo kwa ajili ya kuirudishia kumbukumbu,nimeeleza kijujuu kama tatizo kubwa nijulushe nitoe maelezo mazuri zaidi.
 
hapo utakua umeclick sehemu imeandikwa FACTORY DEFAULT
 

mediacom
MFT 910+New imeandikwa hvo,pia imelost kila ki2 ata niki restore factor no kipya.
 
We mkuu hapo ingia menu na anza kuiongiza namba za chanel kama vipi bado ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…