Reasons why Magufuli will be a one term President

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji736] safi saaaana
 
Kwani nani alikuambia kwamba alishinda uchaguzi uliopita ? Kila mtu anajua kilichotendwa na yule bwana dhidi ya EL. Siye tayari tunasubiri ushindi mnono 2020 wa Lisu dhidi ya huyu Jamaa wa CCM.
Hawataiba tena?
 
I see. !?? may be this language left you behind !!
 
Kwa hali ninayoiona huku vijijini,Nina hakika ngosha atapita na uchaguzi ujao iwe kwa nap la mkono or whatever. Huku vijijini jamaa bado anakubalika sana.
 
Well! well! that is why I enjoy mature discussions rathaer than being personal.
While I do not want repeating myself but give out some clarifications especially sothing to do with Media House saga.
To be honest I NEVER SUPPORTED that kind of action at all.
However we share one thing in common. The RULE of LAW should be UPHELD and adhered to.
 
Hebu tukumbushe kwanza baada ya Kagera Earth quake kilichofata ni uchaguzi wa kata 22 je matokeo yalikuwaje tupe picha..

Kilichofata ni sawa na wapinzani waliposhinda 2015 lakini matokeo yalitangazwaje vile? Kama umesahau jikumbushe zanzibar
 
Instead ya kuongea vitu vya muhim kama vile suala la sukari,wanafunzi wa UDOM na ununuzi usiozingatia sheria unataja vitu vya kawaiiida kabisa
 
Tumaweka historia Tanzania.. jamaa anarudi kijijini kwao.
 
Nitawashangaa sana wana Kagera wakimpigia kura mtu asiye na huruma kama huyu...

  • Your browser is not able to display this video.
 
Kwani nani alikuambia kwamba alishinda uchaguzi uliopita ? Kila mtu anajua kilichotendwa na yule bwana dhidi ya EL. Siye tayari tunasubiri ushindi mnono 2020 wa Lisu dhidi ya huyu Jamaa wa CCM.
Yametimia !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…