Wewe bado premature. Endelea kujifunza.
Ila wenzio NATO Wala hawalalamiki kama unavyolalamika wewe maana wanajua wameenda nje ya makubaliano,na Kama Unadhani Ukraine ndiyo sababu ya Vita basi upo slow Sana kuelewa mwelekeo wa Dunia. Vita Ni ya Russia vs NATO & USA,Ukraine ni yule mtoto aliyetangulizwa mbele ili akamguse mbabe alafu yule mbabe akireact na kurudisha mapigo wahuni walioficha silaha zao nyuma ndiyo wanapata sababu ya kumtwanga yule mbabe. Propaganda za West zimewadhoofisha sana akili.