Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,208
- 29,343
Wazungu wote wanajua jamaa ana akili ila wanajifanya matutusa tu.Huyu ana akili ya hali ya juu. Hata Donald Trump analijua hilo.
Mim siungi mkono ushoga lakin ushoga sio tatizo kubwa linalosumbua afrika mambo mengine ya ajabu sana, waafrika tuumize kichwa kuondokana na umaskin, na ujingaWazungu wote wanajua jamaa ana akili ila wanajifanya matutusa tu.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Wazungu wote wanajua jamaa ana akili ila wanajifanya matutusa tu.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Utakuwa shoga wewe.Mim siungi mkono ushoga lakin ushoga sio tatizo kubwa linalosumbua afrika mambo mengine ya ajabu sana, waafrika tuumize kichwa kuondokana na umaskin, na ujinga
Waafrika hatuhitaji misaada either yenye masharti au isiyo na masharti tunatakiwa tujitegemee in short umeandika ujinga
Njoo huku dar uwaulize watakuambia shida ni maji, tembea sehemu tofauti tofauti uone watakuambia shida ni ugumu wa maishaUtakuwa shoga wewe.
Wapi nimeongelea Jambo moja hadi umeamua kukomaa nalo? We umeona ushoga tu Hadi uniambie nimeandika ujinga?
Ila ni muuaji na haishimu mipaka ya nchi.Anauwa wanawake na watoto wa Ukraine na anauwa wapinzani wake.Ni king'ang'anizi wa madarakaAchana na Vita inayoendelea Kati ya Russia na Ukraine,siongelei hilo swala. Hapa namzungumzia Putin katika angle nyingine kabisa
Hizi hapa ni sababu zangu kwa nini namkubali Sana Putin ;
1. Ushoga Ni agenda inayopigiwa promo na magharibi ili Dunia nzima iingie kwenye huu ushetani wa kwenda kinyume na nature. Moja ya hotuba yake, Putin alisema ushoga ni dhambi Kama dhambi nyingine tukwa hiyo hiyo dhambi haikubaliki.Kwa nini West wanapiga Vita ugaidi (ambao Mara nyingi wanautengeneza wenyewe) ila wanauopromote ushoga kwa nguvu kubwa,na mtu/nchi inayokwenda kinyume nao wanairarua vibaya mno?
2. Tuliona enzi ya ugonjwa wa Corona jinsi west media walivyou-overrate unaua mamilioni ya watu,wakatuletea na musk, lock down Kisha chanjo tena kwa kutulazimisha. Ukiangalia Sera za Putin juu ya ule ugonjwa zilikuwa Kama za hayati Magufuli tu. Putin alishawajua west ni watu waongo waongo Sana. Ilipoanza Vita Kati ya Russia na Ukraine na huu ugonjwa umetoweka kabisa.
3. Putin hajawahi kutuibia Waafrica.
4. Putin hana muda wa kuzichonganisha nchi mbalimbali zipiga ne na kumwaga damu zisizo na hatia ili akopeshe silaha na kuiba rasilimali.
5. Putin hana muda wa kututengezea GMO na oestrogetic food/products Kama pizza na burgers ili wanaume tuwe emasculated & feminine characters alafu wazidi kututawala vizuri. Sasa hivi hao tunaowahusudu wametuletea matunda hayana mbegu,mfano parachichi alafu tunashangilia ilhali wenyewe hawali na wanapiga Vita GMO.
6. Putin hatoi misaada yenye masharti ya udhalilishaji na uvunjaji utu kwa nchi masikini.
7. Putin hasapoti ushenzi wa plastic surgery.
8. Wale anti Russia;Kama upo bize 24/7 ukiangalia Hollywood dramas na propaganda za magharibi huwezi kwenda sambamba na Putin. Lazima utamchukia tu.
9. Kama wewe Ni masturbate addict na unakubali zile propaganda za nyeto haina tatizo,huwezi kumpenda Putin.Masturbation corrodes a man's soul. Sigma male Kama Putin huwa hawafagilii huu ushenzi.
10. Moja ya sifa ya uanaume Ni kulinda watoto wako dhidi ya maadui(risking your life to protect your family )..
Yes, nasapoti anachofanya Putin huko Ukraine. Hata Ndege Tai hawezi kuruhusu adhi yake nyoka ajenge ngome karibu na kibanda chake alichowahifadhi familia yake,atapambana kwa hali na mali kulinda hatma ya kizazi chake.
Wacha awatutuseWazungu wote wanajua jamaa ana akili ila wanajifanya matutusa tu.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ni msaada gani Putin katoa kwa afrika?Achana na Vita inayoendelea Kati ya Russia na Ukraine,siongelei hilo swala. Hapa namzungumzia Putin katika angle nyingine kabisa
Hizi hapa ni sababu zangu kwa nini namkubali Sana Putin ;
1. Ushoga Ni agenda inayopigiwa promo na magharibi ili Dunia nzima iingie kwenye huu ushetani wa kwenda kinyume na nature. Moja ya hotuba yake, Putin alisema ushoga ni dhambi Kama dhambi nyingine tukwa hiyo hiyo dhambi haikubaliki.Kwa nini West wanapiga Vita ugaidi (ambao Mara nyingi wanautengeneza wenyewe) ila wanauopromote ushoga kwa nguvu kubwa,na mtu/nchi inayokwenda kinyume nao wanairarua vibaya mno?
2. Tuliona enzi ya ugonjwa wa Corona jinsi west media walivyou-overrate unaua mamilioni ya watu,wakatuletea na musk, lock down Kisha chanjo tena kwa kutulazimisha. Ukiangalia Sera za Putin juu ya ule ugonjwa zilikuwa Kama za hayati Magufuli tu. Putin alishawajua west ni watu waongo waongo Sana. Ilipoanza Vita Kati ya Russia na Ukraine na huu ugonjwa umetoweka kabisa.
3. Putin hajawahi kutuibia Waafrica.
4. Putin hana muda wa kuzichonganisha nchi mbalimbali zipiga ne na kumwaga damu zisizo na hatia ili akopeshe silaha na kuiba rasilimali.
5. Putin hana muda wa kututengezea GMO na oestrogetic food/products Kama pizza na burgers ili wanaume tuwe emasculated & feminine characters alafu wazidi kututawala vizuri. Sasa hivi hao tunaowahusudu wametuletea matunda hayana mbegu,mfano parachichi alafu tunashangilia ilhali wenyewe hawali na wanapiga Vita GMO.
6. Putin hatoi misaada yenye masharti ya udhalilishaji na uvunjaji utu kwa nchi masikini.
7. Putin hasapoti ushenzi wa plastic surgery.
8. Wale anti Russia;Kama upo bize 24/7 ukiangalia Hollywood dramas na propaganda za magharibi huwezi kwenda sambamba na Putin. Lazima utamchukia tu.
9. Kama wewe Ni masturbate addict na unakubali zile propaganda za nyeto haina tatizo,huwezi kumpenda Putin.Masturbation corrodes a man's soul. Sigma male Kama Putin huwa hawafagilii huu ushenzi.
10. Moja ya sifa ya uanaume Ni kulinda watoto wako dhidi ya maadui(risking your life to protect your family )..
Yes, nasapoti anachofanya Putin huko Ukraine. Hata Ndege Tai hawezi kuruhusu adhi yake nyoka ajenge ngome karibu na kibanda chake alichowahifadhi familia yake,atapambana kwa hali na mali kulinda hatma ya kizazi chake.
Ni msaada gani Putin katoa kwa afrika?
Ujui chochote kuhusu hiyo Vita Kama mtazamo wako ndiyo huu.Ila ni muuaji na haishimu mipaka ya nchi.Anauwa wanawake na watoto wa Ukraine na anauwa wapinzani wake.Ni king'ang'anizi wa madaraka
11.Akiamua lake hasikilizi la muadhini Wala mnadi swala.Achana na Vita inayoendelea Kati ya Russia na Ukraine,siongelei hilo swala. Hapa namzungumzia Putin katika angle nyingine kabisa
Hizi hapa ni sababu zangu kwa nini namkubali Sana Putin ;
1. Ushoga Ni agenda inayopigiwa promo na magharibi ili Dunia nzima iingie kwenye huu ushetani wa kwenda kinyume na nature. Moja ya hotuba yake, Putin alisema ushoga ni dhambi Kama dhambi nyingine tukwa hiyo hiyo dhambi haikubaliki.Kwa nini West wanapiga Vita ugaidi (ambao Mara nyingi wanautengeneza wenyewe) ila wanauopromote ushoga kwa nguvu kubwa,na mtu/nchi inayokwenda kinyume nao wanairarua vibaya mno?
2. Tuliona enzi ya ugonjwa wa Corona jinsi west media walivyou-overrate unaua mamilioni ya watu,wakatuletea na musk, lock down Kisha chanjo tena kwa kutulazimisha. Ukiangalia Sera za Putin juu ya ule ugonjwa zilikuwa Kama za hayati Magufuli tu. Putin alishawajua west ni watu waongo waongo Sana. Ilipoanza Vita Kati ya Russia na Ukraine na huu ugonjwa umetoweka kabisa.
3. Putin hajawahi kutuibia Waafrica.
4. Putin hana muda wa kuzichonganisha nchi mbalimbali zipiga ne na kumwaga damu zisizo na hatia ili akopeshe silaha na kuiba rasilimali.
5. Putin hana muda wa kututengezea GMO na oestrogetic food/products Kama pizza na burgers ili wanaume tuwe emasculated & feminine characters alafu wazidi kututawala vizuri. Sasa hivi hao tunaowahusudu wametuletea matunda hayana mbegu,mfano parachichi alafu tunashangilia ilhali wenyewe hawali na wanapiga Vita GMO.
6. Putin hatoi misaada yenye masharti ya udhalilishaji na uvunjaji utu kwa nchi masikini.
7. Putin hasapoti ushenzi wa plastic surgery.
8. Wale anti Russia;Kama upo bize 24/7 ukiangalia Hollywood dramas na propaganda za magharibi huwezi kwenda sambamba na Putin. Lazima utamchukia tu.
9. Kama wewe Ni masturbate addict na unakubali zile propaganda za nyeto haina tatizo,huwezi kumpenda Putin.Masturbation corrodes a man's soul. Sigma male Kama Putin huwa hawafagilii huu ushenzi.
10. Moja ya sifa ya uanaume Ni kulinda watoto wako dhidi ya maadui(risking your life to protect your family )..
Yes, nasapoti anachofanya Putin huko Ukraine. Hata Ndege Tai hawezi kuruhusu adhi yake nyoka ajenge ngome karibu na kibanda chake alichowahifadhi familia yake,atapambana kwa hali na mali kulinda hatma ya kizazi chake.
Ujui chochote kuhusu hiyo Vita Kama mtazamo wako ndiyo huu.
Rudi kwanza miaka ya katikati ya 90 kasome mikataba ya NATO na Russia waliyosaini kuhusu NATO kujitanua Kisha Rudi hapa tuendelee kujibizana. Propaganda za West zimekuharibu.
By signing the NATO-Russia Founding Act, Russia pledged not to threaten or use force against NATO Allies and any other state.Ujui chochote kuhusu hiyo Vita Kama mtazamo wako ndiyo huu.
Rudi kwanza miaka ya katikati ya 90 kasome mikataba ya NATO na Russia waliyosaini kuhusu NATO kujitanua Kisha Rudi hapa tuendelee kujibizana. Propaganda za West zimekuharibu.
Acha kumbwel mbwela. Toa factsUnataka msaada kwani wewe umepungukiwa nini? Huo mtazamo wa kimasikini ndiyo unatufanya Hadi leo Waafrika tunazidi kudidimolia shimoni.
Alafu mkuu,Kama Unadhani hao wazungu wanakupa msaada basi unakosea Sana. Kuna namna unaulipia. There is no free lunch.
Wewe bado premature. Endelea kujifunza.By signing the NATO-Russia Founding Act, Russia pledged not to threaten or use force against NATO Allies and any other state.
Kwa hiyo ulitaka Ukraine asijiunge na NATO ili iwe rahisi kwa Putin kumvamia ??