M Myaim Member Joined Jun 20, 2023 Posts 15 Reaction score 2 Jul 9, 2023 #1 msaada jamani ndugu zanguni wataalamu wa kilimo. nahitaji mashine ya kuvuna mpunga inaitwa power reaper bainder(inavuna nakufunga bando yenyewe)napata wapi na bei ? km inavyoonekana kwenye picha:
msaada jamani ndugu zanguni wataalamu wa kilimo. nahitaji mashine ya kuvuna mpunga inaitwa power reaper bainder(inavuna nakufunga bando yenyewe)napata wapi na bei ? km inavyoonekana kwenye picha:
Forecast Member Joined Apr 23, 2021 Posts 43 Reaction score 67 Jul 9, 2023 #2 Kabla sijaenda shamba, taingia workshop nitengeneze Mwenyew Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kabla sijaenda shamba, taingia workshop nitengeneze Mwenyew Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,970 Reaction score 13,661 Jul 9, 2023 #3 Wapi huko ambako hakuna kombaini tulete.
M Myaim Member Joined Jun 20, 2023 Posts 15 Reaction score 2 Jul 9, 2023 Thread starter #4 MAWEED said: Wapi huko ambako hakuna kombaini tulete. Click to expand... Samahn mkuu nilikusudia ya kwangu mwenyewe nahitaji msaada napata WP?
MAWEED said: Wapi huko ambako hakuna kombaini tulete. Click to expand... Samahn mkuu nilikusudia ya kwangu mwenyewe nahitaji msaada napata WP?
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,970 Reaction score 13,661 Jul 9, 2023 #5 Myaim said: Samahn mkuu nilikusudia ya kwangu mwenyewe nahitaji msaada napata WP? Click to expand... Upo mkoa gani?
Myaim said: Samahn mkuu nilikusudia ya kwangu mwenyewe nahitaji msaada napata WP? Click to expand... Upo mkoa gani?
M Myaim Member Joined Jun 20, 2023 Posts 15 Reaction score 2 Jul 9, 2023 Thread starter #6 MAWEED said: Upo mkoa gani? Click to expand... Nina sehemu mbili Bukoba na igunga
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 2,187 Reaction score 4,552 Jul 10, 2023 #7 Sasa hicho mpaka kimalize heka mia kitatumia siku ngapi
M Myaim Member Joined Jun 20, 2023 Posts 15 Reaction score 2 Jul 10, 2023 Thread starter #8 darubin ya mbao said: Sasa hicho mpaka kimalize heka mia kitatumia siku ngapi Click to expand... Tatizo la muafrika ni dharau.huwezi kutaka cha juu sana wkt hujafika
darubin ya mbao said: Sasa hicho mpaka kimalize heka mia kitatumia siku ngapi Click to expand... Tatizo la muafrika ni dharau.huwezi kutaka cha juu sana wkt hujafika
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,744 Jul 11, 2023 #9 Ukitaka nzuri agiza kwa wachina
M Myaim Member Joined Jun 20, 2023 Posts 15 Reaction score 2 Jul 11, 2023 Thread starter #10 Asante Kwa ushauri ila wengine Sisi bado sio wazoef kuagiza nje na pia ttzo la mafundi kupatikana iwapo itaagizwa tofauti
Asante Kwa ushauri ila wengine Sisi bado sio wazoef kuagiza nje na pia ttzo la mafundi kupatikana iwapo itaagizwa tofauti
Mwanamena JF-Expert Member Joined Feb 4, 2020 Posts 1,107 Reaction score 1,374 Jul 14, 2023 #11 Myaim said: Tatizo la muafrika ni dharau.huwezi kutaka cha juu sana wkt hujafika Click to expand... Anasahau Kwa miaka nenda Rudi tumekuwa tukifyeka Kwa mundu/ kikwakwa.
Myaim said: Tatizo la muafrika ni dharau.huwezi kutaka cha juu sana wkt hujafika Click to expand... Anasahau Kwa miaka nenda Rudi tumekuwa tukifyeka Kwa mundu/ kikwakwa.