Halafu nashindwa kwa nini R. Madrid wanamtaka Bale wakati Ronaldo bado ni balaa manake hii free kick aliomtungua Petr na kufunga bao la pili ha ha ha ha!
Yaani huyu Lukaku anaruka ruka tu kule mbele.....sidhani kama atadumu na Jose huyu....duuhh....kipindi chote cha kwanza sijui hata kama alikuwepo......
Kwa jinsi nilivyoiona hii game so far:
Ivanovich inabidi asiwe starter.
Lampard ni mzee na apunguze papara za kufunga na aingie as a sub
Chelsea wanahitaji clinical striker waliopo hawatoshi