<font size="4"><font color="darkred"><b>Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee vipi naona machabiki wa Manure mmeanza kulialia hata kabla ya kupata passport? khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Wakati Arsenal walipocheza na RVP kutolewa mlisema opposite lakini leo mnageuza kibao. <font color="darkred">What hypocrisy is that?</font></b></font></font><font color="darkred"></p>
<p><font size="4"></p>
<p><font color="darkred"><b>BTW the match was boring . full of niggling tackles and deceit.</b></font></p>
<p></font></font>
hii style ya yetu ya kujilizia na kupendelewa kam mnavyoita itaendelea mpaka mou atakapobadilisha mfumo tu.Eqlypz
Niameandika hapo juu with all respect kwa Barca kuwa wanacheza mpira mzuri lakini binafsi naona pressure waliokuwa wanamjaza ref inanifanya niamini kuwa hawa jamaa they had something to do na kutaka kubebwa..What do i mean?, embu cheki na faulo ngapi ambazo Barca walikuwa wana suffer (ziw malicious au kuigiza), walikuwa wanamzonga ref, just imagine Valdes anakimbia mita zaidi 50 kuja kumzonga ref?, let alone Bad Boy alves alivojigaragaza kama kavunjwa inhal hata hajaguswa...najua ni mbinu za kiuana spot, lakn ktk il watu (kina sie) tuki connect dots we feel something fishy going on out there...kama unadhan nakosea fuatilia hightlights za mechi ya jana, kwa kuanzia tu, cheki na ile red card ya Pepe, jinsi Valdes na wenzake zaid ya 8 walitoka mita 30 mbali kuja mzonga ref...hilo ni tukio moja tu, let alone mengine..
Ayo ya nyuma, e.g. La Arsenal nadhan wenzangu wamelisema vzur, wakijibu vzur hoja yangu na u comedy wao, then tutaenda sawa...Barca are good, but with fair refereeing we will beat them..mark my words fellas.
Msiwe bias kiasi hicho ninyi anti-barca, ukweli ni kwamba kwa style ya mou anapokutana na barca totally anakuwa na aggressive mechancal tactics ili kuwa panicisha wachezaji wa barca wasicheze mpira wao wa siku zote.
Hilo barca amelitambua na wao hii mbinu ya kujilizia kama watoto wataitumia sana na believe me next game 11-10 men probability yake ni kubwa kama na kama tu mou anaendelea kuwajaza ujinga wachezaji wake kimbinu mou anaonekana kuzidiwa na huo ndio ukweli .
Tuone kama defensive style ataitumia next wiki wakati yuko nyuma kwa goli mbili .
Barcelona ni timu nzuri kwa sasa duniani kubali kataa na hizi ni nyakati najua inawauma sana wengi wenu.
Ndo maana mnakuja na argument nyingi za oooh barca wapendelewa endeleni mna haki lakini kumbukeni na sisi barca fans huwa tuna angalia mpira na hatupendezwi na ile style ya mou,
Vipi tena UNICEF ndiyo UEFA siku hizi? Tutajie timu hata moja isiyotangaza kampuni au shirika. Halafu uache uongo Sergio Ramos alipotolewa November mwaka jana ilikuwa ndani ya dakika mbili za nyongeza, wiki iliyopita Angel Di Maria alitolewa dakika ya mwisho ya mda wa nyongeza.. Ni kweli marefa ni binadamu na mara kadhaa wanakosea sana, lakini hiyo isiwe sababu ya kudanganyana hapa.Mimi bana Barca wamezidi kubebwa kila timu ngumu wakipambana nayo lazima ibaki na wachezaji 10,na wakibaki hao wachezaji 10 ndio wanaanza kufunga ,namuunga mkono Jose kwa aliyosema,alisema mwanzo anajiaandaa na kucheza na wachezaji 10 na kweli yametokea yale yale ambayo watu wameanza kusema ndio yanatokea,hizo ni mbinu chafu za Barca,kama kutangaza UNICEF si watangaze tu bila kubebwa
Ha ha haaa! Halafu adhabu ya 'viatu kwenda mbele' kwa mujibu wa sheria za mpira ni ipi???Did someone saw jinsi ambavyo Barca players walivyokuwa wanam presurise Ref kwa kumzunguka the time faulo inateendeka?,
With all due respect to Barca, n kwel wanacheza mpira vyema lakini wamezidi kuliakulia na wao...hata kama ilikuwa el Classico they acted childishly.....
All in all, we want them...na waje na ma comedians wao Wembley...nasema TUTAWANYOA hivohvo...na natamani siku hyo Kibabu SAF atie ndan Fabio, Rafael na mtoto wa Mbwa Fletcher, na Xuls...ni viatu kwenda mbele....!
wafa maji hao ndugu yanguVipi tena UNICEF ndiyo UEFA siku hizi? Tutajie timu hata moja isiyotangaza kampuni au shirika. Halafu uache uongo Sergio Ramos alipotolewa November mwaka jana ilikuwa ndani ya dakika mbili za nyongeza, wiki iliyopita Angel Di Maria alitolewa dakika ya mwisho ya mda wa nyongeza.. Ni kweli marefa ni binadamu na mara kadhaa wanakosea sana, lakini hiyo isiwe sababu ya kudanganyana hapa.
'Tuache double standard' wakati huo huo unaacha kuhoji kwa nini Adebayo hakulambishwa nyekundu kwa rafu yake mbaya jana?! Au labda hukuiona mkuu. Makosa yaliyomfanya refa ampe Pepe nyekundu badala ya njano ndo hayohayo yalimfanya ampe Adebayo njano badala ya nyekundu! So, justice done!This is one of the weakest argument I have ever read on this forum, kwa hiyo kwa kuwa hawajapiga shuti hata moja ndio walistahili mchezaji wao kutolewa? Are you effin serious? Soma post number 186.
2009 Chelsea alikuwa anamtoa Barca kwenye 1/2 somehow somewhere refa akafanya madudu, mwaka jana Inter kamkamata Barca vizuri dakika ya 30 wakampa Mota kadi nyekundu, mwaka huu Arsenal wamepata goli la ugenini suddenly RVP anapewa kadi game inatilt upande wa Barca. Tuache double standard ingekuwa inabebwa Chelsea au Man Utd namna hiyo tusingelala hapa.
No.1: Didier Drogba (Barcelona 2-1 Chelsea)
February 23, 2005 - Champions League last-16, first-leg
Drogba was the man to kick-start the growing list of players under Mourinho's guidance to be sent off against Barcelona. The Ivorian striker was given his marching orders on 56 minutes after a double yellow card, the second of which was a late lunge on goalkeeper Victor Valdes as he tried to pounce on a short Juliano Belletti backpass.
Chelsea were leading 1-0 at the time and, not surprisingly, Barca netted twice after the Blues were reduced to 10 men.
OUTCOME FOR MOURINHO: Lost
No.2: Asier del Horno (Chelsea 1-2 Barcelona)
February 26, 2006 - Champions League last-16, first-leg
History was to repeat itself in near-identical fashion almost exactly a year later. In the same competition at the same stage, Mourinho's Chelsea surrendered a one-goal lead and had Asier del Horno dismissed.
The left-back was issued a straight red card on 37 minutes after a challenge on Lionel Messi, a tackle which also sparked a melee between the two sets of players.
OUTCOME FOR MOURINHO: Lost
No.3: Thiago Motta (Barcelona 1-0 Inter)
April 28, 2010 - Champions League semi-final, second-leg
Six further meetings between Jose and Barca went by before the Portuguese tactician saw one of his players sent off again. This time it was with Inter in the semi-finals.
Leading 3-1 from the first-leg at home, Mourinho's men were forced to go ultra-defensive at Camp Nou when Thiago Motta was red carded in the 28th minute after the midfielder's raised arm made contact with Sergio Busquets' face. Mou's side lost the game 1-0 but won the tie 3-2 on aggregate.
OUTCOME FOR MOURINHO: Lost
No.4: Sergio Ramos (Barcelona 5-0 Real Madrid)
November 29, 2010 - La Liga, Matchday 13
Mourinho's first ever Clasico ended unceremoniously in more ways than one. The Portuguese was subjected to his heaviest defeat as a professional coach and Madrid suffered their heaviest loss against Barca in 16 years.
And, of course, the 'Special One' only had 10 men on the field come the final whistle after Sergio Ramos was brandished a straight red two minutes into injury time for a cynical tackle on Lionel Messi.
OUTCOME FOR MOURINHO: Lost
No.5: Raul Albiol (Real Madrid 1-1 Barcelona)
April 16, 2011 - La Liga, Matchday 32
Mourinho achieved two things in his second ever Clasico: for the first time he avoided defeat against Barca when he only had 10 men, and he also stopped the Catalans' run of five straight wins over Madrid.
But the capital club had to do it the hard way, coming from behind after Messi scored from the penalty. The spot-kick was a result of Raul Albiol hauling David Villa to the ground inside the box, a foul which saw the centre-back dismissed with a straight red card.
OUTCOME FOR MOURINHO: Drew
No.6: Angel Di Maria (Barcelona 0-1 Real Madrid AET.)
April 20, 2011 - Copa del Rey final
Mourinho's third Clasico ended on a happy note, albeit again with 10 men. The 'Special One' guided Madrid to the Copa del Rey after a 1-0 extra-time win over Barcelona in the final.
However, Angel Di Maria was sent off in the 120th minute after a trip on Lionel Messi earned him his second yellow card of the match. The Argentine winger had already been booked in the 85th minute for handball.
OUTCOME FOR MOURINHO: Won
No.7: Pepe (Real Madrid 0-2 Barcelona)
April 27, 2011 - Champions League semi-final, first leg
One of the most controversial red cards on the list, almost exactly a year after Thiago Motta's equally contentious sending-off.
Pepe was sent for an early bath when he lunged forward to challenge Dani Alves for the ball, but the referee deemed that the Portuguese defender-turned-midfielder had caught the Barca right-back with a high foot and was given a straight red card. After Madrid went down to 10, Lionel Messi netted twice to secure a 2-0 win.
OUTCOME FOR MOURINHO: Lost
Wacha kuassume hujui na-support team gani Spain, ukitaka kujua uliza sio unakimbilia conclusion zisizo na kichwa wala miguu. Hapa tunajadili kama wapenzi wa soka ushabiki pembeni.
Mkuu, mechi zote? Ikiwemo fainali ya UEFA kati ya Man U na Barca?? Kumbe man u walikuwa pungufu?Ukiangalia mechi zote with exception of Barca vs Inter, Barca wanafunga baada ya timu pinzani kupata red card? Angalia dhidi ya Arsenal, Chelsea, Inter jana Madrid...? Sio kila siku mnaisema Man Utd kuwa inabebwa inapokuja kwa Barca mnadai wanajua mpira, Mourinho and co had them where he wanted them kama alivyofanya kwenye Copa Del Rey na kwenye El Clasico two weekends ago.
hii style ya yetu ya kujilizia na kupendelewa kam mnavyoita itaendelea mpaka mou atakapobadilisha mfumo tu.
Vipi Wolves wakati mnataka kuwa Invincibles? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha ngebe kaka mpira sio hivyo Wivu unakusumbua kwa sababu Barca walifungwa na Arsenal ... ... kumbe unajua nini kinakuja khe khe kheeeeeeeeeeee magoli uliyaona yalikuwa na kubahatisha ...... .... bahatisheni na nyinyi au kubebwa mnakobebwa phew! Disgusting.
Shut up!
Ngoja na mimi niweke senti zangu kuhusiana na game ya jana
Ilikuwa mojawapo ya game mbovu ambazo nimeziona sometimes bora hata Simba na Yanga
Masa kila faulu ikichezwa wachezaji wote wanamvamia refa,i wish Colina angekuwa refa.Approach ya JM iliharibu game kabisa,nimeangalia El clasico zote hii ilikuwa mbovu kuliko zoteHebu acha kufunga watu wazima Kamba! Wewe ulikuwa unaangalia mpira upi??
Masa kila faulu ikichezwa wachezaji wote wanamvamia refa,i wish Colina angekuwa refa.Approach ya JM iliharibu game kabisa,nimeangalia El clasico zote hii ilikuwa mbovu kuliko zote