Hii game japo inaweza ikawa ngumu kidogo kutokana na form ya Madrid ikiwa ugenini, lakini ningekua ZZ Marcelo nisingemuanzisha angetokea hata benchi maana hajawa full fit akitoneshwa tu kidogo kwenye derby tutamkosa,
Hapo kwenye red, hilo ni bomu na likilipuka lawama zote atabeba Zidane. Kuwapanga hao watu pamoja ni kujitafutia kifo. Kumbuka game ya Betis ilivyokuwa. Hii game ni ngumu sana ukizingatia Malaga wanacheza home. Lakini anyway, in Zizou we trust