Zizou has internal vision and never shies from responsibility, mi nafikiri mtu wowote akiboronga anakwenda bench no matter how much you bring to the club per year. Na huu mpango wa kuangalia maslahi ndio unaomfanya Perez awe kocha msaidizi lakini sijui hii filosofi itafanyakazi kwa Zidane.

Hakuna kitu kinachoniumiza kichwa kama mchezaji kuitwa untouchable. That's bullshit. Wanatuharibia game for sure. Na wamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna mafanikio, sasa sijui Perez anangoja nini!