Mkuu leo kuna mahali nilikua nasoma, wanadai jamaa yupo kwenye uangalizi saizi, kosa lolote atakalo lifanya kuanzia sasa atatimuliwa na timu atapewa zizzou, inavo onekana hata perez mwenyewe kaanza kupoteza imani na benitez,
Kuhusu hata uefa mkuu ni zaidi ya miaka kumi imepita toka amechukua Mara ya mwisho, alipokua Napoli alitolewa na Bilbao ( kama sijakosea) kwenye play off, then Europa nako akaja akapigwa na dnipro. Kombe lake kubwa alilochukua hivi karibuni ni FA cup akiwa na Chelsea na Europa,
According to many sources in Spain, Zidane's been told to be mentally prepared to manage Real if at any point they sack Rafa if things don't change for the team.