Siku ile UEFA walipoambiwa wamepata kibonde wakawa wanabisha. Kupitia Game dhidi ya PSG pia na Barcelona ndo kulionesha uwezo halisi wa Madrid ya Benitez.
Pasipo kumuweka Benitez nje na kuuza masharobaro hii timu msimu huu haitabeba kitu. Wamebakisha makombe mawili tuu, UEFA na La Liga na kote huku kwa mwendo wao huu HAKUNA ATAKAPOBEBA.