jengine ni kwamba kila mnaemuona anan'gara epl msione akija la liga atafanya atakavyo kama epl angalieni hela mliotoa kwa bale, james , na kross bora mudric kuliko huyo bale bora isco kuliko james mlipomuona james katika world cup mkaona yes kifaa mlipomuona bale anatupia akiwa na spurs mkaona tayari mmepata kifaa wapiii jaribuni kukuza viabaji hata kama mchezaji mtamnunua kwa bei ndogo ila kama mutamkuza kisoka basi itakua poa zaidi n