Full Time, Real Madrid wamecheza soka la hali ya juu lakini wamepoteza point 3 muhimu sana. Bao ni 2 - 1. Mimi binafsi leo nafikiri lawama zimemwendee Gareth Bale, katunyima ushindi kwa ubinafsi. Lakini ndio soka, tusubiri jumatano katika game ya Copa del Rey na Atletico.