Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #10,661
Wadau hizi taarifa zilizosambaa leo kuwa Benzema anaenda arsenal zina ukweli wowote?
Hazina ukweli.
Safi maana kichwa kilikuwa kishaanza kuniuma hapa nkiwaza ndo striker tuliyebakiza af wanamuuza