Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #9,701
Vijana wanafunguka, not bad for just 2 weeks of training.
Naona leo mna hasira baada ya kupoteza ile mikwaju? Hongereni bana.....
hii ya ukweli mno
Hii timu hata last season ilikuwa inafunga mabao mengi tu, tatizo ilikuwa inakubali kufungwa kiurahisi tu. ndio maana Benitez ameamua kudeal sana na defence.
Si unaona jamaa katoa penalty tayari, tuuze tu huyu. Dah!
Penalty bila sababu, alichotakiwa kufanya nikunyoosha mikono juu kuomba faulo au kuendelea kucheza tu. Ndio maana mi nakwambia wanauwezo wa kufunga, lakini hawamalizi mechi bila kuruhusu mabao pia.
Same like the Bernabeu,95% fans are cheering up for Real Madrid ! BIGGEST CLUB
Sasa Ramos kwanini kashika ule mpira pale?
Kweli ile ni makusudikally kabisa yaani huyu jamaa hawataki kabisaa .....tupatien tu.