Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Sawa, ila post yako ni irrelevant na post ya Salamander. Post yake ipo independent haipo kumshindanisha na Messi. Samahani lakini........
ha ha ha ha ha ha ha wanamuita TUPAC nbele nimesahauHaha watu wa barça kwa ujumla si wa kawaida, ila wa hii mitaa ni special case. Waache tu leo ni siku yao.
AS | Marco Asensio won't be able to take part in Real Madrid's pre-season tours due to the U-19 European Championships.
Huyu dogo wampeleke club yoyote BuLi au kwa Lopetegui akapate uzoefu, sioni akitoboa kwa hii Madrid ambayo bado haijawa stable.
ha ha ha ha ha ha ha wanamuita TUPAC nbele nimesahau
usiwaze sana mzee, Check kwenye bio nimeiweka.
Ni kweli lakini lengo lilikuwa yeye na Odergaad wapewe play time kwenye pre-season, nafikiri next season mmoja kati yao angebaki na squad kuwa bench warmer.
naomba utabir wako
Odegaard nadhani ndio atabaki, Asensio aende kwa msimu mzima. Nakumbuka Canales alikuja na m'pira wa maana sana ila alipo leo ni maumivu kufikiria.
Apelekwe Ureno au hata England, baadae atatusaidia huyu.
The Zidane family
Haha England NO! Kwa Lopetegui tu.
Mbona yule dogo mwingine anakwenda England. Lopetegui baadae anataka kuchakachua mkataba.
Carlo Ancelotti nina ugomvi nae mwingi sana, hawa Juve walitumiliki both games.
Naangalia game hapa roho inaniuma kweli, kitu gani kimetufanya tushindwe kuingia fainali hizi! Saa hizi ningekuwa Berlin, sio uwanjani, ningekuwa hapo nje tu kwenye bar namimina.
Acha tu, unafiki pembeni hii game nimeshindwa kuendelea kuiangalia. Barça wanatufundisha namna ya kucheza na Juve and it's painful to watch.
Acha kabisa, hii siku na ipite tu. Simu imejaa texts za trolls tu utafikiri sisi ndio tunacheza, na hakuna maumivu kama kuwa trolled mpaka na Maza ako. Sio siri, Carlo nina ugomvi nae sana.Yaani hawa ndio walituzidi ball possession hawa? Yaani hizi fainali ilibidi tucheze sisi, hawa hawawezi Barca, waliokuwa wanamtetea Carlo ni wachawi wetu.