Nikifanya majumuisho ya mecho iliyopita na hii naona tumestahili kutoka,mechi zote zimeonyesha weaknes yetu katika kila nyanja...kiungo ni ugonjwa mkubwa sana ambao tulichelewa kuutibu,pale mbele ni swala la saikolojia kwa wale foward...Hongera juve,hongera barca...nawapa karata yangu barca kubeba ubingwa huu kwa sababu ya umakini wa foward zao...