Hala madrid...had sa hv nimeridhishwa na kiwango cha timu haswa beki...hapa katikat naona kroos amekosa nguvu leo,anakaba na macho...naona pia umakini kwa foward line haupo sana,mtu anaingia kwenye kumi na nane ila wakumsaidia mwenzie amejificha nyuma ya beki za juve...mipira ya cross na kona hatujaitendea haki,nafikir beki zao ni nzuri zaid kwa mipira hiyo...kwa hiyo tutumie njia ya utatu mtakatifu tunapopiga counter attack...