Hakuna cha bad luck wala good luck
Mpira umewakataa real kwa leo.
Kocha habadiliki huyu......
Ronaldo anakosa penalt mara ya pili hii afu bado yeye ndo anapewa.
Hii timu ina wafalme wengi
Iker, Ramos, Ronaldo hawa hawagusiki
Nilimuona kakosa ile penalty kabla ya kuipiga, mbwembwe za nini pale? Alitakiwa kukung'uta, kitu nyavuni. Wanatutesa sana hawa watu. Na ninavyosikia next season timu haibadiliki wala nini, Ancelotti, Casillas, Ronaldo, Bale and the like.