Marca wameandika, na hii sio mara ya kwanza kusikia wiki yote hii naona huu utumbo labda kweli. Dawa ya Juve ni kuwakimbiza, na leo wanariadha wetu wote wapo lazima Marcelo acheza kuwatilia pass ndefu.
Juventus agreed a deal in 2010 to sign James Rodriguez for less than €5m but at the last minute, EX Juve director, Roberto Bettega said no. Gazzetta are the ones reporting that we agreed a deal with James & Banfield (the team who owned him) for less than €5m!