Real quick, how comes unajaribu sana kuwa relevant huku kuliko kwenye thread yenu? They too can really use your insights you know, especially since you're only 10 minutes away from you know where.
Just balance the affection you're showing us, we don't wanna take everything away from them.

FloPe angebeba Vidal, sema jamaa muonekano wake kama ana-push weight in kilos 4 the C-notes. Kitu kingine anabomoka kirahisi sana, hachezi msimu mzima bila kuwa sidelined. Bora waliachana nae tu.
Nawacheki opponents wetu hapa wakitangaza ubingwa wa ligi yao leo.
Yule Tevez hajakutana na watu na wana roho ngumu kama yeye, kwa Pepe haendi mahali. Pirlo ile miguu haina juice tena, Vidal atakuwa anakaba sana na kucheza fouls tu hiyo j4, ndio Juve imeishia hapo.