Nilikuwa ninasubiria kwa hamu nione Arda akicheza kiungo wa kati juu itakuwaje, acha leo tuone alichonacho.Mapema babu kwanza na Guller hii leo.
Bado team inajitafuta sana., bado haieleweki, nilidhani kuwa Arda Guler angecheza juu ya Valverde na Tchouameni, ila na yeye ninaona anatokea sana pembeni, ni afdhali Brahim angeanza kisha Rodrygo akacheza chini ya Washambuliaji ana angecheza Dani Ceballos.Ht 0-0
Embu ngoja tuone maana match ya pili hii tunaona mauza uza bado team haijasimama. Wakati sio team mpya sana.Bado team inajitafuta sana., bado haieleweki, nilidhani kuwa Arda Guler angecheza juu ya Valverde na Tchouameni, ila na yeye ninaona anatokea sana pembeni, ni afdhali Brahim angeanza kisha Rodrygo akacheza chini ya Washambuliaji ana angecheza Dani Ceballos.
Yeah., hapo ninamsubiri Camavinga arudi tuone team itakuwa na muonekano upi.Embu ngoja tuone maana match ya pili hii tunaona mauza uza bado team haijasimama. Wakati sio team mpya sana.
Afadhali man, jamaa wana nidhamu ya ulinzi, so kupiga nje ya box kama hiyo inatatusaidia., kwasababu sioni tukiifungua defence yao.Valvede ashaanza kunyoosha msuli
Wanakaba kinomaAfadhali man, jamaa wana nidhamu ya ulinzi, so kupiga nje ya box kama hiyo inatatusaidia., kwasababu sioni tukiifungua defence yao.