Umeona tumepigwa goli zote mbili sababu ya marking ya kizembe sana. Yaani dakika zote 90 wamepata nafasi tatu tu tumepigwa goli mbili, je tukikutana na timu inayo create nafasi nyingi? Natumaini Zidane atarekebisha hii kitu