Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #40,861
Mzee baba madrid inapambana na hali yake kujenga kikosi cha future ku replace akina marcelo, ramos na modric barca wanasajili akina boateng na vidal daa kweli cr7 kaondoka sikatai em piga picha upande wa pili kule king la pulga akitundika daruga sijui kama patakalika kule maana mechi anazokaa benchi kila mtu anajua barca wanavyohaha kupata matokeo.
Nakuona umeng'ata meno usikumbushwe ukivyokula mkono El ckasico bila Leo.Mzee baba madrid inapambana na hali yake kujenga kikosi cha future ku replace akina marcelo, ramos na modric barca wanasajili akina boateng na vidal daa kweli cr7 kaondoka sikatai em piga picha upande wa pili kule king la pulga akitundika daruga sijui kama patakalika kule maana mechi anazokaa benchi kila mtu anajua barca wanavyohaha kupata matokeo.
Madrid huu ni upepo tuu
Madrid tuna future mkononi
Hawa akina casemiro akina marcelo tuliwapata na kuwalea kama hawa vijana wa sasa. My hope tutapata chemistry nzuri sana hapo baadae
Benzema on fire wadau. Jana kaupiga mwingi mno mpaka kanifurahisha
Ndo ulichobaki kujivunia kula mkono. Huna lolote la kujivunia. Madrid inasaka mataji makubwa kwa kujenga kikosi cha muda mrefu ww unawaza mkono. Hapa naona tofauti kubwa kati ya mchambuzi wa soka na shabiki zwazwa asiyejua hata historia ya timu yakeNakuona umeng'ata meno usikumbushwe ukivyokula mkono El ckasico bila Leo.
Wengine hawapendi wakisikia maneno kama hayo.
Jamaa anaburudisha kabisa aisee.
Ndo ulichobaki kujivunia kula mkono. Huna lolote la kujivunia. Madrid inasaka mataji makubwa kwa kujenga kikosi cha muda mrefu ww unawaza mkono. Hapa naona tofauti kubwa kati ya mchambuzi wa soka na shabiki zwazwa asiyejua hata historia ya timu yake
Kuna watu wanajua kupiga domo tu lakini football hawalijui, kwahiyo unawapotezea na wao wanapotea kwenye uzi huu. Si unajua kuna wanatafuta attention tu humu.
streaming link plzAfter a worrying start, Real Madrid seemed to have settled down now. Getting into very good attacking positions. Vincius and Marcelo working brilliantly together down the left wing.