Mbona wewe ulitolewa na losers wa vyote Ligi ya Italy na EUFAMpira umebadilika sana UEFA ni kikombe kisichokua na mvuto kwenye soccer la ulaya ;losers kwenye league zao wanajitolea ugwadu kwenye UEFA na Europa siku hizi
I can feel your ego tooPole sana, I can feel your pain.
Washabiki wa Barca hamkosi visingizio timewaachia Laliga mtusogelee kidogo tukianza msilalamike napo kama UEFAMpira umebadilika sana UEFA ni kikombe kisichokua na mvuto kwenye soccer la ulaya ;losers kwenye league zao wanajitolea ugwadu kwenye UEFA na Europa siku hizi
Tukutane next seasonMbona wewe ulitolewa na losers wa vyote Ligi ya Italy na EUFA
Halaf jua uspo chukua UEFA na wewe ni Loser wa shindano hilo
Tukutane next season
kwahiyo mngechukua nyie Barca mara tatu mfululizo UEFA ndo ingekuwa na mvuto eti?Mpira umebadilika sana UEFA ni kikombe kisichokua na mvuto kwenye soccer la ulaya ;losers kwenye league zao wanajitolea ugwadu kwenye UEFA na Europa siku hizi
Nyie mkakutane na vimeo wenzenu Roma, tumewaletea UEFA spain plus credibility ya hali ya juu lakini bado tu hamlitambui hilo?Tukutane next season
Wampeleke akacheze karata, bao, pool table huko hawezi kuumizwa.Wakili wa Misri amewasilisha mashtaka ya pauni bilioni moja dhidi ya Sergio Ramos kuhusiana na namna Mohamed Salah alivyoumia katika mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. (Evening Standard)
Spurs out of the running for Bale
Tottenham will not pursue a move for Real Madrid winger Gareth Bale this summer, reports Sky Sports News.
The former Spurs star has been tipped to leave Madrid this summer, despite playing a starring role in the club's third straight Champions League title.
With Bale currently making considerably more than any Tottenham player, the club has decided that a move for the 28-year-old would not be financially possible.
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ana hofu juu ya ushindani wa malipo ya kifedha usajili wa mchezaji wa Wales Gareth Bale kutokana na bei yake, huku Real Madrid ikitarajiwa kumuuza mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28 kwa bei ya pauni milioni 200 (Express)