Leo usiondoke. Lala kwenye hii thread nikwambie kitu baadae. Amchelewagi kusema ni easy kuliko EPL. Bao la kwanza ni Cristano Ronaldo dakika ya 9. Sio uchawi, ni football.

Kwasababu psycogically Barcelona chupi zimelowa halafu sasa hivi nakula Paella con vino tinto.Niko na watu flani wako Ibiza leo wameamua kufunga bar yao kabisa.