Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,368
Varane amekuwa mhimili wetu kwasasa, anajitahid sana kwa kweli., amekuwa makini sana., Kama Vallejo akikaza kama Kijana tutakuwa na ukuta imara sanaVarane singlehandedly leading the defence this evening. Block after block. Clearance after clearance
Ngoja tu msimu uishe aondoke kwa kweli., amekuwa mzuzuraji tu siku hizi uwanjani.,Tatizo ni mkataba wa benzema pale, unampa nafasi ya kuanza kila mechi kipindi cha kwanza ikiwa si majeruhi
Ni kwamba alizidiwa tu, kumbuka huo upande yupo Marcelo anasaidiana na Dogo, zilipigwa one two kadhaa pale akabaki anaduwaa,kushtuka akasikia watu wanshangilia...,Mechi nzuri sana. ila bado sijui Dani alikuwa wapi hadi Ascensio anafanya yote yale?
Ni kwamba alizidiwa tu, kumbuka huo upande yupo Marcelo anasaidiana na Dogo, zilipigwa one two kadhaa pale akabaki anaduwaa,kushtuka akasikia watu wanshangilia...,
Great marcelo huyu jamaa anajua sana,Ameanza kurudi kwenye ubora wake HALA MADRID.Madridismo
Turning pointLucas Vasquz on for Casemiro Asensio on for Isco and we scored.