Valencia vs Real Madrid 1-4 - All Goals & Extended Highlights - La Liga 27/1/2018 HD Goals: Ronaldo 16', Ronaldo 38', Mina 59', Marcelo 84', Kross 89'.
Hii ya Benzema mbona ilikuwa kali sasa, sikuweza kuangalia game yote, ila hata kwa highlight tu sijaona kitu alichofanya., sasa hii ya kupata moto wakati ametolewa inatokana na nin!!
Unadhani ni kazi rahisi kupiga penalty!? umeshuhudia wachezaji wangapi wakikosa penalty, tena za muhimu kabisa!!? So kupiga penalty na ukafunga ni kipaji pia., Kupiga tu penalty ni ujasiri tosha, unatakiwa ujiamini haswa.
Zidane wants all his players to stay and is not looking for any new faces, despite multiple calls received for players such as Dani Ceballos, Marcos Llorente and Borja Mayoral.