Mkuu hizi tetesi nyingine hata haziingii akilini. We unafikiri Real Madrid wanaweza kumnunua golie mwenye miaka 30? Why?
Tuna kazi kubwa ya kufanya ila hope tutapita.Mmmh... Sijui tutapita.
Maana makina Dimaria yalivo na hasira
Madrid hawasumbuliwi na timu inayotanua uwanja kama PSG ,Bayern etc kwa sababu hakuna timu bora kwa counter attack duniani kama Madrid,Madrid inasumbuliwa na wapark busMmmh... Sijui tutapita.
Maana makina Dimaria yalivo na hasira
PIGAAAA MBWAAAAA HAOOOO
Piga hayo yatoke mtoano na ligi yanakosa
We Dada kila Thread upoTetesi
REAL YAANZA MAZUNGUMZO NA HAZARD
Real Madrid wamewasiliana na mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard kuangalia uwezekano wa kumleta Mbelgiji huyo Hispania kwa mujibu wa Diario Gol .
Mchezaji huyo anasita kusaini mkataba mpya Stamford Bridge na ameeleza jinsi anavyoihusudu Real Madrid.
Mkuu PSG Maji marefuu......naimani na zidane tactics thoughSubirini muone football msimu huu. Tunatandika Wakatalani, PSG na hata akiletwa nani. Haters kazi mnayo.
Mkuu PSG Maji marefuu......naimani na zidane tactics though
Umeamua kuwafuata kwao kbsMadridiots out mnapigwa kama ambavyo huwa zinapigwa Metz au St Etienne
Kuku wangu ostadhi wa nini?Umeamua kuwafuata kwao kbs
Kweli hupendagi ujinga